Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM watofautiana kuhusu kusalia serikalini

  • | Citizen TV
    4,923 views
    Duration: 2:11
    Vuta nikuvute inaendelea ndani ya chama cha ODM kuhusu ni nani anafaa kuzungumuza kwa niaba ya chama hicho na serikali ya rais William Ruto. katibu mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna akitofautiana na viongozi wengine kuhusu msimamo wa kuunga mkono serikali .