Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi 100,000 wawasilisha maombi ya kutaka kubadilisha shule walizoteuliwa kujiunga nazo

  • | Citizen TV
    1,810 views
    Duration: 2:39
    Wanafunzi laki moja wametuma maombi ya kutaka kubadilisha shule walizoteuliwa kujiunga nazo katika siku ya kwanza ya shughuli ya kufanya hivyo. Hata hivyo Katibu wa Wizara ya elimu Profesa Julius Bitok amesema kuwa wanafunzi 2,000 pekee ndio waliofanikiwa kubadilisha shule hii leo. Bitok amesema kuwa mchakato huo unaendeshwa na maafisa wa elimu katika ngazi mbali mbali na kuwataka wazazi wanaolalamika kuwasilisha mombi yao kwa muda wa siku sita zilizosalia.