- 470 viewsDuration: 5:39Wahadhiri wanatizamia kupata awamu ya kwanza ya shilingi bilioni 7.9 wanazodai serikali mwezi huu. Hii ni kufuatia serikali kukubali matakwa yao baada ya mgomo uliochukua siku 49 na kukwamisha shughuli zote za masomo katika vyuo vikuu vya umma nchini.