23 Dec 2025 7:25 pm | Citizen TV 2,800 views Duration: 2:01 Maafisa wa polisi mjini Mombasa wanamsaka mshukiwa wa wizi wa magari anayedaiwa kuwahadaa wanunuzi kuwa angewaangizia magari kutoka nje na kuwalaghai mamilioni ya pesa.