Skip to main content
Skip to main content

Meli 5 zenye uwezo mkubwa wa kijeshi duniani

  • | BBC Swahili
    13,560 views
    Duration: 2:21
    Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuunda meli zenye nguvu zaidi kijeshi, hatua inayolenga kudumisha hadhi ya Marekani kama taifa lenye jeshi lenye uwezo mkubwa zaidi baharini. - Mpango huu ni sehemu ya mikakati ya Marekani kuilinda hadi yake dhidhi ya ushindani unaoibuka kutoka China - Unadhani ni nchi gani itaongoza vita vya baharini miaka 10 ijayo—Marekani au China? - - #marekani #donaldtrump #fujian #ussgeraldford #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw