Skip to main content
Skip to main content

Upweke: Mwanamke afunga ndoa na mume aliyejitengenezea kwenye AI ya CHATGPT

  • | BBC Swahili
    10,578 views
    Duration: 1:47
    Hebu fikiria kuamka kila asubuhi ukimsalimia mwenza wako… ambaye si binadamu? - Hana mwili, hana sauti ya kweli, haonekani,lakini anakupenda, anakusikiliza,na anakujibu kila siku. Hiki ndicho kisa cha mwanamke wa Japan aliyeamua kuolewa na akili akili unde. - Je, huu ni upendo wa kweli au ni mwanzo wa dunia mpya isiyotabirika? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw