- 7,659 viewsDuration: 4:24Ufugaji wa wadudu aina ya chenene umekuwa maarufu humu nchini, haswa baada ya mifugo kuangamia kutokana na ukame. Hata hivyo, wakenya wengi bado hawajazoea ulaji wa wadudu hao ambao huwa na virutubishi muhimu kwa afya ya binadamu. Lakini kama anavyoarifu Laura Otieno, Katika kaunti ya Kisumu, ulaji wa keki na chapati zilizopikwa kwa unga unaotokana na wadudu hao unashika kasi huku wataalamu wa afya wakisifia faida zake kwa afya ya binadamu