- 567 viewsDuration: 3:34Wakenya waliadhimisha jumapili ya mwisho ya mwaka huu kwa maombi na tafakari huku wakiwa na matumaini ya mwaka mpya wenye fanaka, kwao binafsi na kwa taifa. Viongozi wa makanisa wamewarai viongozi wa kisiasa kupunguza mabishano na upimanaji nguvu na badala yake kuweka mbele maslahi ya wananchi mwaka ujao.