Skip to main content
Skip to main content

Watu wanne wa familia moja wafariki katika ajali ya barabarani Marsabit

  • | Citizen TV
    7,118 views
    Duration: 51s
    Watu wanne wa familia moja wamefariki huku wengine wanne wakijeruhiwa baada ya kuhusika katika ajali ya barabrani katika eneo la Kuku Farm, hatua chache kutoka wadi ya Turbi kwenye barabara kuu ya Marsabit kuelekea Moyale.