Skip to main content
Skip to main content

Infotrak: Ruto aongoza kwa ushawishi wa kisiasa nchini

  • | Citizen TV
    2,032 views
    Duration: 2:21
    Rais William Ruto ndiye mgombea urais mwenye ushawishi mkubwa zaidi nchini, kulingana na utafiti mpya wa kampuni ya infotrak. Aidha utafiti huo unaonyesha kuw ahakuna mgombea urais ambaye kwa sasa angeweza kushinda uchaguzi wa urais katika awamu ya kwanza iwapo uchaguzi ungefanywa sasa. Mbunge wa Embakasi East Babu Owino ndiye mwanasiasa anayependelewa na wakenya wengi kumrithi hayati Raila Odinga katika chama cha ODM.