- 18,393 viewsDuration: 2:55Utata kuhusiana na hali iliyosababisha kifo cha aliyekuwa waziri na mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo, umechipuza utamaduni miongoni mwa ukoo wa Tiriki unaoaminika kumtendea haki aliyehusika iwapo njama fulani inashukiwa kusababisha kifo. Utamaduni huo unahusisha kuweka tochi iliyowashwa kwenye jeneza la marehemu kwa imani kuwa itakapozimika mtu aliyesababisha kifo hicho pia ataaga dunia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive