Skip to main content
Skip to main content

Kazi Ni Kazi: Bishop wa Bike

  • | KBC Video
    257 views
    Duration: 4:24
    Katikati mwa mji wa Tala Kaunti ya Machakos, ambapo waendesha bodaboda hupitia changamoto si haba kujitafutia riziki, mwanamume mmoja kwa jina Michael Mutiso almaarufu Bishop wa Bike, amegeuza pikipiki ya kawaida kuwa jukwaa linalotumia nishati ya jua, lililo na spika na kipaza sauti. Katika ulimwengu ambapo ubunifu ni nguzo kuu ya maisha, Bishop wa Bike amekumbatia ubunifu kama njia ya kujitafutia riziki. Fredrick Muoki anamwangazia kwenye makala ya Kazi ni Kazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News