Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Jirongo yageukia wapelelezi wa kibinafsi kuchunguza kifo chake

  • | KBC Video
    775 views
    Duration: 3:31
    Familia ya marehemu mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo imetafuta huduma za wachunguzi wapelelezi wa kibinafsi kuchunguza kifo chake. Akizungumza wakati wa ibada ya wafu ya marehemu Jirongo, Seneta wa zamani wa Vihiga George Khaniri amedokeza kuwa wachunguziu hao watafichua watu wawili wanaodaiwa kuwa kwenye gari la Jirongo kabla ya kuhusika kwenye ajali iliyosababisha kifo chake huko Naivasha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive