- 183 viewsDuration: 3:13Shinikizo zinazoendelea za kufanyia katiba marekebisho zimeibua mdahalo mpya nchini huku viongozi wakitofautiana kuhusu iwapo hatua hiyo inastahili au ni tishio kwa katiba mpya iliyoidhinishwa mwaka-2010. Pendekezo lililotolewa hivi majuzi na waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi limepokea uungwaji mkono kutoka kwa baadhi ya wanasiasa nchini, huku wengine wakisema halifai. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive