Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa upinzani utatangaza mgombea wake wa urais katika miezi 3 ijayo

  • | KBC Video
    922 views
    Duration: 2:04
    Muungano wa upinzani utatangaza mgombea wake wa urais katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema hatua hiyo itawezesha muungano huo wa upinzani kuanza kumtangaza kwa umma mgombea wake atakayekabiliana na Rais William Ruto. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive