- 130 viewsDuration: 3:43Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amesisitiza nia ya serikali ya kuimarisha upatikanaji wa haraka wa huduma za matibabu nchini kupitia utekelezaji wa mfumo wa ushirikiano wa afya na Marekani. Akizungumza wakati wa ibada ya ukumbusho huko Eldoret, Mudavadi pia alieleza kwamba mkataba ambao Kenya imeafikia na Marekani utahakikisha ufaragha wa wakenya kuhusiana na afya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive