Skip to main content
Skip to main content

Mashirika kadhaa Kajiado yaanzisha mradi wa kushughulikia uwepo wa chakula cha kutosha

  • | KBC Video
    118 views
    Duration: 2:47
    Mashirika kadhaa katika kaunti ya Kajiado yameanza mradi kabambe unaolenga kushughulikia uwepo wa chakula cha kutosha katika kaunti hiyo inayopokea mvua haba. Mradi huu unanuiwa kuzihamasisha jamii pamoja na kuimarisha maisha yao kupitia shughuli endelevu ya ufugaji nyuki. Huku Timothy Kipnusu akitupakulia taarifa kwa kina, mradi huu unaoendelezwa na shirika la World Wide Fund kwa Kenya umezindua wanawake wengi kujishughulisha na ujasiriamali pamoja na kubadilisha maisha ya familia zao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive