- 21,967 viewsDuration: 44sKocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio waliyoyapata anayatoa kama heshima kwa watu walipoteza maisha yao oktoba 29. Loko Omi ametuandalia taarifa hii 📹 @brianmala - - #bbcswahili #soka #oktoba29 #afcon2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw