Skip to main content
Skip to main content

Dunia Wiki Hii 6th December 2025 I Mkuu wa jeshi la Sudan ashinikiza kuvunjwa kwa kundi la RSF

  • | KBC Video
    215 views
    Duration: 27:29
    Dunia Wiki Hii 6th December 2025 Katika makala ya juma hili, Rais Trump wa marekani asema hivi karibuni wataanzisha mashambulizi kwenye nchi kavu dhidi ya walanguzi wa mihadarati katika eneo la Caribbean. Mkuu wa jeshi la Sudan ashinikiza kuvunjwa kwa kundi la waasi la RSF kama sharti la kuafikia amani huku baraza kuu nchini humo likikariri azma ya kushirikiana na umoja wa mataifa. Marekani yakoma kutayarisha maombi ya wahamiaji kutoka Afghanistan baada ya kisa cha ufyatuaji risasi karibu na ikulu ya White House huku mwanajeshi mmoja akiuawa. Jeshi la Israel latekeleza operesheni kubwa kaskazini mwa ukingo wa magharibi mwa mto Jordan. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News