Skip to main content
Skip to main content

Dunia Wiki Hii 13th December 2025 I DRC na Rwanda Zatia Saini Mkataba wa Amani

  • | KBC Video
    298 views
    Duration: 28:07
    Katika makala ya juma hili, DRC na Rwanda zatia saini mkataba wa amani huku rais wa DR Congo akiorodhesha azma yake ya kurejesha amani na uthabiti katika eneo la mashariki linalokumbwa na mzozo. Baraza la umoja wa mataifa kuhusu mazingira laandaliwa nchini Kenya huku wito ukitolewa wa kulinda afya ya sayari hii nao wataalamu wa kichina na kiafrika wakihimiza matumizi ya kawi safi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya anga. Maafisa wa muda nchini Syria waadhimisha mwaka mmoja wa mpito wa kisiasa kwa msafara wa kijeshi huku mwaka mmoja baada ya vita kukomeshwa familia zilizopoteza makazi zikirejea kwenye magofu ya nyumba. Rais Ouattara wa Cote d'Ivoire aapishwa kwa kipindi kipya cha miaka mitano uongozini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News