14 Aug 2025 10:33 am | Citizen TV 359 views Duration: 1:38 Gavana wa kaunti ya Meru Isaack Mutuma M’Ethingia sasa anataka waliosababisha machafuko katika soko la Siakago wakamatwe na kushtakiwa