14 Aug 2025 10:30 am | Citizen TV 28,905 views Duration: 1:20 Viongozi wa chama cha DCP kaunti ya Kajiado wameonya serikai dhidi ya kumkamata aliyekuwa naibu wa Rais Rigathi Gachagua atakaporejea nchini.