Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi 300 kutoka kwa familia maskini wanufaika na msaada wa elimu

  • | KBC Video
    98 views
    Duration: 1:26
    Wanafunzi 300 kutoka kwa familia maskini wanatarajiwa kujiunga na gredi ya 10 baada ya kupokea masomo kamili kupitia mpango wa Tufuzu na Elimu wa wakfu wa The Family Group.Watakaonufaika watapata msaada kamili wa masomo na ushauri nasaha kwa miaka mitatu ya shule ya sekondari. Tangu kuanzishwa kwake, mpango huu umesaidia zaidi ya wanafunzi elfu-3 kitaifa katika elimu ya sekondari na ya juu, na kudhihirisha kiwango cha asilimia 80 cha mafanikio katika mpito hadi elimu ya juu na soko la ajira. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive