Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Mijikenda yapongeza kuzinduliwa kwa shirikisho jipya la Umwenga Wehu

  • | KBC Video
    88 views
    Duration: 2:11
    Wanawake na viongozi wa vijana kutoka jamii za Pwani ya Kenya wamefurahia kujumuishwa kwao katika Shirikisho jipya la Umwenga Wehu, wakilielezea kuwa hatua muhimu ya kuwa na umoja na maendeleo jumuishi kati ya jamii ya wa-Mijikenda. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive