Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto akutana na wadau wa Wizara ya Elimu ili kuboresha sekta ya elimu

  • | KBC Video
    540 views
    Duration: 2:34
    Rais William Ruto siku ya Jumatano alikutana na wadau wa Wizara ya Elimu katika Ikulu ya Nairobi, katika kikao cha ngazi ya juu kilicholenga kushughulikia changamoto kuu zinazoikabili sekta ya elimu nchini, ikiwemo ufadhili wa shule, mageuzi ya elimu na utekelezaji wa sera. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive