- 106 viewsDuration: 1:26Chama tawala cha UDA kinatarajiwa kufanya uchaguzi wa mashinani katika kaunti 20 siku ya Jumamosi. Takriban wanachama laki-4 wa chama hicho cha UDA watagombea nyadhfa mbalimbali kwenye uchaguzi utakaoandaliwa kwenye vituo 12,800. Mwenyekiti wa bodi ya kitaifa ya chama hicho Anthony Mwaura alusema uchaguzi huo utakuwa huru na wa haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive