- 293 viewsDuration: 2:08KASORO KATIKA MTIHANI WA KCSE Jumla ya watahiniwa 1,180 waliofanya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne –KCSE mwaka jana 2025 wamekosa kupata matokeo yao kwa kuhusika na udanganyifu wa mtihani.Waziri wa Elimu Julius Ogamba alisema matokeo yao yalifutiliwa mbali baada ya kukamilika kwa uchunguzi ulioanza Novemba mwaka jana na Baraza la kitaifa la mitihani nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive