Rais William Ruto alishiriki kwenye chaguzi za mashinani za chama chake ambapo alipiga kura yake katika shule ya msingi ya Koilel, kaunti ya Uasin Gishu. Chaguzi hizo ziliandaliwa katika kaunti-20 ambako maafisa-20 walichaguliwa kwenye vituo vya kupiga kura. Akiwahutubia wana chama tawala cha UDA baada ya kupiga kura, rais Ruto aliwapongeza wawaniaji wote kwa kujitokeza kwa wingi wakidhamiria kutoa uongozi mashinani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive