Familia ya Raphael Mwandikwa aliyefariki baada ya jengo lililokuwa linajengwa kuporomoka mjini Karen, inadai fidia na haki kwa jamaa wake. Familia hiyo inasema tangu kifo cha Mwandikwa, haijapokea taarifa yoyote kutoka kwa mmiliki wa jengo hilo au mamlaka husika.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive