19 Jan 2026 10:25 am | Citizen TV 108 views Duration: 1:28 Wakazi wa kaunti ya Bungoma wamehimizwa kukumbatia kilimo cha Alizeti na Njugu kwa ili kuwawezesha kupata faida mara dufu kutokana na mauzo ya mazao hayo.