Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kutoka kaunti ya Garissa watashirikiana na serikali kuu kukabiliana na hali ya ukame

  • | Citizen TV
    303 views
    Duration: 1:25
    Viongozi kutoka kaunti ya Garissa wamesema watashirikiana na serikali kuu kutafuta njia za kukabiliana na hali ya ukame inaoendelea kukithiri katika maeneo mengi kaunti hiyo.