19 Jan 2026 10:28 am | Citizen TV 234 views Duration: 2:11 Wakaazi katika kijiji Cha Kugitura eneo bunge la Kuria Magharibi wameanzisha mradi wa kuimarisha miundo mbinu katika Shule za chekekea kama njia ya kuweka msingi dhabiti Kwa wanafunzi wachanga.