Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya familia 1,700 zimepewa msaada Chewele, Tana River baada ya ukame kukidhiri sehemu hio

  • | Citizen TV
    213 views
    Duration: 2:23
    Familia zaidi ya 1700 kutoka eneo la Chewele kaunti ya Tana River zimepokea msaada wa chakula kutoka shirika la msalaba mwekundu ambalo limeshirikiana na mashirika mengine ili kukidhi mahitaji ya uhaba wa chakula kutokana na ukame.