Skip to main content
Skip to main content

John Kimeu anatumia plastiki kutunza mazingira Kwale

  • | Citizen TV
    419 views
    Duration: 2:55
    John Kimeu ni Mwanaharakati wa mazingira ambaye amegeuza changamoto ya taka za plastiki kuwa fursa ya kutunza na kupamba mazingira katika kaunti ya Kwale. Kwa mwongo mmoja sasa amekua akikusanya na kutumia chupa, mitungi na mifuko ya plastiki iliyotupwa kupanda miti na maua ya mapambo kama njia moja ya kukabili uchafuzi wa mazingira. Lawrence Ng'ang'a anaarifu zaidi kutoka Kwale.