Skip to main content
Skip to main content

Wadau waanzisha mchakato wa kutoa msaada kwa wanafunzi Homa Bay

  • | Citizen TV
    163 views
    Duration: 2:06
    Wadau wa elimu kutoka kaunti ya Homa bay sasa wameanzisha mchakato wa kuhakikisha watoto wote haswa wa kike wamerudi shuleni. Aidha wameweka hazina ambayo itasaidia watoto wasiojiweza kukamilisha masomo yao.