Skip to main content
Skip to main content

Hamasisho kuhusu ulanguzi wa binadamu yatolewa kwa wakaazi wa Malaba na Busia

  • | Citizen TV
    233 views
    Duration: 2:58
    Huku visa vya ulanguzi wa binadamu wakiwemo watoto vikishuhudiwa katika maeneo ya mipakani, wakazi wa miji ya Busia na Malaba wanashirikishwa katika mafunzo ya kukabiliana na swala hili. Katika awamu ya pili ya kutoa hamasisho kwa umma, maafisa wa serikali na wale kutoka idara ya watoto kaunti ya Busia wametoa onyo kali kwa wanaojihusisha na visa hivyo