20 Jan 2026 7:30 pm | Citizen TV 249 views Duration: 2:21 Machifu nchini wameanza zoezi la kuwatafuta wanafunzi wa gredi ya 10 ambao bado hawajajiunga na sekondari ya juu. Zoezi hili likiendelea huku wanafunzi wengi bado wakikwama nyumbani kwa kukosa uwezo wa kugharamia masomo yao