Skip to main content
Skip to main content

Vifo Kikopey vyafikia 8, familia 3 hazijatambua maiti

  • | Citizen TV
    870 views
    Duration: 2:13
    Idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya barabarani eneo la Kikopey hapo jana, imefikia 8 baada ya mtu mmoja zaidi kufariki katika hospitali ya rufaa ya Nakuru. haya yakijiri huku familia tatu za walioangamia kwenye ajali hiyo wakiwa bado hawajatambua maiti za jamaa zao.