- 7,568 viewsDuration: 2:39Watu 18 wamekamatwa na maafisa wa kaunti ya Mombasa kwenye msako wa ujenzi wa majengo yanayokiuka sheria. Baadhi ya wale waliokamatwa ni wanakandarasi na wajenzi. Kwenye ukaguzi huu, maafisa wa kaunti walibaini kuwa baadhi ya nyumba zilizojengwa zilikuwa zimeongezwa ghorofa