Skip to main content
Skip to main content

Kenya inapoteza Sh150 bilioni kwenye uuzaji wa hisa Safaricom, asema Ndidi Nyoro

  • | Citizen TV
    986 views
    Duration: 2:30
    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ameeleza kamati ya bunge kuhusu Fedha na ile ya Ubinafsishaji kwamba Kenya itapata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 150 kupitia uuzaji wa hisa zinazomilikiwa na serikali kwenye kampuni ya Safaricom. Wengine waliofika mbele ya kamati ya pamoja ya bunge ni pamoja na gavana wa benki kuu ya Kenya Kamau Thugge na muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini COTU.