Skip to main content
Skip to main content

Mtu mmoja azuiliwa Kisumu baada ya kukamatwa bangi Sh4m

  • | Citizen TV
    1,734 views
    Duration: 2:25
    Mtu mmoja amezuiliwa na maafisa wa polisi katika operesheni dhidi ya dawa za kulevya huko Kisumu ambapo bangi ya thamani ya shilingi milioni nne ilinaswa. Mshukiwa huyo anadaiwa kuhusika na uuzaji wa dawa za kulevya huku mafungu zaidi ya bangi yalipatikana karibu na shule ya upili ya Ahero.