Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi asalia nyumbani

  • | Citizen TV
    348 views
    Duration: 1:15
    Emaculate Cheptoo alikua mwanafunzi katika shule ya msingi ya Litein na babake Geoffrey Koech anafanya kazi ya kupaka rangi viatu katika soko ya Litein . Mwanafunzi huyu amekaa nyumbani kwa sababu ya kukosa karo baada ya kuitwa katika shule ya upili ya Chebonei kaunti ya Bomet . Yeye miongoni mwa wanafunzi wengi ambao wako nyumbani kwa sababu ya kukosa karo.