Skip to main content
Skip to main content

Usambazaji wa umeme Kilifi

  • | Citizen TV
    188 views
    Duration: 1:45
    Serikali kupitia wizara ya kawi inaendelea kufanikisha mradi wa kusambaza umeme maeneo mengi mashinani maarufu last mile connectivity. Kulingana na katibu katika idara hiyo Alex wachira ambaye alizindua mradi wa umeme wa eneo hoopla dabaso, zaidi ya shilingi bilioni 2 zimewekezwa kufanikisha shughuli hiyo Katika Kaunti ya Kilifi