- 97 viewsDuration: 1:23Bodi ya uajiri wa wafanyakazi wa umma kaunti ya Makueni imeanzisha zoezi la mwezi mmoja la kuwalisha kiapo cha utendakazi cha siri kwa wafanyikazi wa umma ili kuhakikisha wanazingatia sheria. Mwenyekiti wa bodi hiyo Benjamin Kioko KasaMBA amesema zoezi hilo litakamilika mwishoni mwa mwezi wa pili na ni sharti kila mfanyikazi wa serikai ya Makueni kula kiapo hicho cha siri ambacho kinawazuia kutoa habari za serikali bila kuzingatia itifaki zilizowekwa.