Skip to main content
Skip to main content

Dhuluma za jinsia Bungoma

  • | Citizen TV
    161 views
    Duration: 1:51
    Huku mimba za utotoni miongoni mwa wanafunzi zikisalia kuwa changamoto katika kaunti ya bungoma,imebainika kuwa ongezeko la visa hivyo huchangiwa pakubwa na dhuluma za jinsia katika jamii. Haya yalibainika katika kongamano la siku mbili katika shule ya sekondari ya kibisi eneo bunge la tongaren,ambapo wadau katika sekta mbalimbali serikalini walikongamana kutafuta mwafaka wa kutatua changamoto hizo .