Skip to main content
Skip to main content

Trump na Zelensky wakaribia makubaliano ya kusitisha vita

  • | BBC Swahili
    3,631 views
    Duration: 4:25
    Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na mwenzake wa Ukraine Volodymr Zelensky kwa mazungumzo yaliochukua saa moja jijini Davos, uswizi. Trump amekuwa akimshinikiza Zelensky kuafikia makubaliano ya amani na Urusi . Amesema makubaliano hayo yako karibu sana kuafikiwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw