Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wanafunzi wa gredi 10 wamesalia nyumbani licha ya agizo la Ruto

  • | Citizen TV
    594 views
    Duration: 2:27
    Licha ya rais William Ruto kutoa idhini kwa wanafunzi wote wa gredi ya kumi kuingia shuleni bila sare, baadhi ya wanafunzi hao bado wamesalia nyumbani kutokana na hali ngumu ya maisha. Katika vijiji vingi, ukosefu wa nauli ulikuwa kizingiti kikubwa kwa wanafunzi hao kufika shuleni.