Skip to main content
Skip to main content

Ruto atoa onyo kwa wanaoongeza bei ya sare za shule

  • | Citizen TV
    2,005 views
    Duration: 3:37
    Rais William Ruto ametoa onyo kali kwa wanaoongeza bei ya sare za shule akisema uatawala wake hautawavumilia huku wanafunzi wengi wa gredi ya kumi wakitii agizo la rais la kujiunga na shule hata bila karo wala sare .