Skip to main content
Skip to main content

Mazishi ya watoto watatu waliofariki Soysambu, Gilgil yafanyika leo

  • | Citizen TV
    5,556 views
    Duration: 2:32
    Ibada ya mazishi ya watoto watatu wa familia moja waliofariki kwenye ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Soysambu, Gilgil kaunti ya Nakuru tarehe nne januari ilifanyika leo. Familia na marafiki wamewakumbuka Njeri Deleon, Emmanuel Deleon na Kairo Winkelpleck kama watoto wacheshi, wenye talanta na walioleta furaha kwa wote waliotangamana nao.