- 975 viewsDuration: 1:00Serikali imetoa hakikisho kuwa imeanzisha uchunguzi kuhusiana na matukio ya leo katika kanisa la witima kaunti ya nyeri. Naibu Rais Kithure Kindiki na waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kwenye taarifa wakikashifu matukio hayo.